Posts

USHINDE UTUMWA KIZUIZI CHA MAFANIKIO YAKO

Ili usonge mbele na ufikie malengo ya maisha yako ni lazima UUSHINDE UTUMWA unaokuwekea mipaka. Kuna watu ambao wanataka kuendelea kuwa karibu na wewe na uwe chini ya HIMAYA yao... ...sio kwa sababu WANAKUPENDA bali kwa sababu umekuwa mtumwa wao. Mwandishi maarufu wa Marekani, Fredrick Douglas (1118-1895) aliwahi kusema...  ...“Sikuwahi kujua kuwa mimi ni MTUMWA hadi pale nilipogundua kuwa siwezi kufanya yale NILIYOYATAKA”. Kuna utumwa wa KIHISIA, mtu hakupi nafasi ya kufurahia unachotaka... ...na kila siku anakuumiza na hauna pa kwenda wala hauna cha kumfanya. Hataki uhusiane na wengine zaidi yake. Kuna utumwa wa KIAKILI, mtu hataki utumie mawazo yako... ...anataka anachosema yeye ndio kiongoze maisha yako, hutakiwi kubisha. Kuna utumwa wa KIUCHUMI, mtu anatengeneza mazingira UMTEGEMEE maisha yako yote na usiwe na uhuru wako wa kifedha. Kuna utumwa wa KIROHO, anatumia nguvu za kiroho kuteka AKILI yako na anakuendesha ufanye anavyotaka yeye. Ukigundua uko kwenye aina yoyote ya utum...

Zero To One by Peter Thiel Book Summary & Review

BOOK SUMMARIES Zero To One by Peter Thiel Book Summary & Review September 30, 2020Rick Kettner7 min read Iterating on existing products takes the world from 1 to N. Zero to One is about how to build companies that create NEW things. Peter Thiel calls on entrepreneurs to build valuable businesses around such opportunities – to build a better future for everyone. This book is for entrepreneurs, founders, or investors that want to build or invest in valuable businesses. While much of the advice is geared towards innovative startups, many of the insights also apply to small businesses that want to carve out a profitable niche. It’s an inspirational read for anyone interested in business strategy. Disclosure: This content is supported by avid readers like you. If you buy something using a link here we may earn an affiliate fee at no cost to you. 1. The Challenge Of The Future Ask yourself, “What important truth do very few people agree with you on?”  A good answe...

HATUA ZA KUHARAKISHA MAFANIKIO YAKO.

1. Bobea Kwenye Jambo Fulani (Specialisation).  Amua kuwa na ujuzi na uwezo wa kipekee katika eneo fulani la maisha yako. Kila aliyefanikiwa hata kama anafanya mambo 10 lazima kuna jambo moja ambalo watu wanamfahamu zaidi kwa hilo. Hii ndio maana ukifikiria au likitajwa jina la mtu yoyote aliyefanikiwa lazima utaweza kutaja kitu kimoja kinachomtambulisha. Kama wewe bado haujapata kitu cha kukutambulisha kimoja ambacho jina lako likitajwa kila mtu anaweza kukisema basi inabidi ufanye hivyo. Hebu fikiria nikitaja majina haya: Mike Tyson, Serena Williams, Justine Bieber, Bill Gates, Mbwana Samatta. Je, unawaza kitu gani kuhusu wao?. Mafanikio Huanza pale unapoamua kuwa na kitu kimoja kikubwa kuliko vyote. 2. Fanye Kitu cha Tofauti (Differentiation). Amua kufanya Kitu ambacho aidha hakifanyiki au ukifanye kwa njia tofauti. Lazima kuwe na utofauti kati ya unachofanya (What) au unavyofanya (How) na wengine. Kama unafanya kile wanachofanya wengine ama kama wanavyofanya basi hauna haki ya ...

SIGNS AND SYMPTOMS OF STROKE

General • Patient may not be able to reliably report history due to cognitive or language deficits. A reliable history may have to come from a family member or another witness. Symptoms of Ischemic Stroke • The patient may complain of weakness on one side of the body, inability to speak, loss of vision, vertigo, headache, or falling. Signs of Ischemic Stroke • Patients usually have multiple signs of neurologic dysfunction, and specific deficits are determined by the area of the brain involved. • Hemiparesis or monoparesis occur commonly, as does a hemisensory deficit. • Patients with vertigo and double vision are likely to have posterior circulation involvement. • Aphasia is seen commonly in patients with anterior circulation strokes. • Patients may also suffer from dysarthria, visual field defects, and altered levels of consciousness. Signs and Symptoms of Hemorrhagic Stroke • A sudden severe headache, nausea, vomiting, and photophobia may be the first signs and symptoms. ...

STROKE

Cerebrovascular disease, or stroke, is the second most common cause of death worldwide, and is the fifth leading cause of death in the United States. Stroke can be either ischemic or hemorrhagic and is an acute medical emergency. Rapid treatment dependent on the type of stroke is critical. Treatment of risk factors and preventive measures are also paramount in the management of stroke. Decades of progress in treatment and prevention of stroke have resulted in a decrease in both stroke incidence and stroke case fatality rates.1  Stroke mortality rates are higher in women than men and geographic variability exists, with higher mortality rates observed in the Southeastern United States, termed the “stroke belt.